GAVANA WA BOT AZUNGUMZA HAYA KUHUSU FEDHA ZA DIGITAL ZA CRYPTOCURRENCY KABLA YA KIKAO HICHO.

Wakati Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani zikiwa zimeanza kushiriki katika utumiaji wa teknolojia ya kidijitali katika sekta ya fedha, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga amesema benki hiyo tayari imetoa tahadhari ya utumiaji wa sarafu za mtandaoni (cryptocurrency) unaofanywa na watu pamoja na kampuni binafsi kabla ya mkutano huo kuanza kujadili kwa kina mambo hayo.

licha ha hayo pia Gavana wa benki kuu ameeleza kuwa kwasasa benki kuu imejikita katika kuwekeza kwenye dhahabu juu ya kutekeleza azma ya sera ya fedha ya mfumuko wa bei. 

fuatiliana nasi kupata habari zaidi.

Leave a Comment