SERIKALI YA MTANDAO ZANZIBAR. https://www.youtube.com/watch?v=oDgh49oLlVg Serikali mtandao kutoka Zanzibar yatoa neno kuhusu Blockchain na Sarafu mtandao sikiliza video hapo juu kwa taarifa kamili.
GAVANA WA BOT AZUNGUMZA HAYA KUHUSU FEDHA ZA DIGITAL ZA CRYPTOCURRENCY KABLA YA KIKAO HICHO. https://www.youtube.com/watch?v=B-ZcVxPLi_o Wakati Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani zikiwa zimeanza kushiriki katika utumiaji wa teknolojia ya kidijitali katika sekta ya fedha, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens […]
Mh Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania ainasihi Benki kuu ya Tanzaia (BOT). wajiweke tajari kwa kujiandaa na ujio wa teknolojia mpya ya BLOCKCHAIN na CRYPTOCURRENCY. Dar es Salaam. Katika kuiandaa Tanzania kufaidika na mapinduzi ya nne ya viwanda, Rais Samia Suluhu Hassan ameigiza […]
This new year will no doubt bring reflection on our past year of outcomes and results as crypto traders. This is as an opportunity to create fresh goals to both improve and excel during the new trading year ahead in 2022. Cryptocurrencies have experienced broad […]