error: Content is protected by CRYPTO ISLAND PRO!!
Main Content

Darasa hili ni la awali (beginner) lipo kwa ajili ya watu ambao hawajawahi kutrade kabisa na wale wanaotrade bila ya kupata faida yoyote. darasa hili linafundisha misingi yote ya hatua muhimu za kufanya biashara hii kabla ya kuingia moja kwa moja sokoni.

vile vile pia darasa hili utajifunza namna ya kuchagua broker aliekuwa sahihi kwako na style mbali mbali za kutrade kwa ajili ya kutengeneza faida nzuri kila siku. Pia utajifunza kutrade bila ya kufanya makosa ya mwanzoni maana huwa yanatia gharama sana kwa kila mwanafunzi anaenza kutrade kuwa ni lazima apate hasara kwanza badala ya faida. kupitia darasa hili utakwenda hatua nyengine itakayokuwezesha kupunguza hasara za mwanzoni. RUHUSU DARASA HILI LIWE MUONGOZO KWAKO. KARIBU 

Darasa hili kwa kawaida gharama yake ni shilingi  500,000/= ila sasa ivi kwa wanafunzi 50 wa kwanza watalipia kwa bei ya offer ya shilling 250,000/= tu.

Bonyeza kitufe hapo chini cha rangi ya blue kilichoandikwa “NUNUA KOZI” kwa ajili ya kujisajili na kuchukuwa kozi hii sasa ivi.

TAFADHALI wahi kujisajili darasa hili sasa ivi, maana nafasi  za watu 50 zimebaki chache sana.

 

kwanini uchague kujifunza katika taasisi ya crypto island pro?

  • Kujiunga na mafunzo yetu kutakuwezesha kuendana na dunia kupitia mapinduzi ya viwanda yanayokua kwa kasi hivi sasa kwa technologia ya blockchain yenye fursa nyingi za uchumi wa kidigitali.
  • Taasisi yetu inawakufunzi wenye uzowefu na ujuzi wa biashara na fursa za kimtandao kwa muda mrefu na ni taasisi ya kwanza kuanzishwa hapa Tanzania na Zanzibar kwa ujumla wake huku ikiwa imefuata matakwa yote ya kisheria  za serikali ikiwemo  usajili na ulipaji wa kodi. Kwa hakika  kuwa nasi hapa upo katika mikono salama.
  • Taasisi yetu imejipanga vyema katika kuhakikisha unaelewa vizuri mifumo hii na unanufaika nayo moja kwa moja mifukoni mwako ili kukuwezesha kukutoa katika hali uliyopo sasa na kuelekea katika hali nyengine kimaisha.
  • Licha ya hayo pia taasisi yetu inaendelea kujipanga katika maboreshaji mbali mbali na mifumo ya kutoa vyeti (certificate) kwa wahitimu wetu baada ya kufanya mtihani na kwa wanafunzi bora kuzawadiwa zawadi nzuri mfano pikipiki, laptop, simu n.k
  • Karibu ujifunze nasi crypto island pro kwa maslahi yako binafsi na kwa watu wanaokuzunguka
User Avatar
Naitwa Mr Baisam. Mkaazi na mzaliwa wa tanzania zanzibar, ni mkurugenzi wa taasisi ya crypto island pro.Kitaaluma ni mhandisi (engineer), ila kwasasa nimeamua kujikita moja kwa moja kwenye tathnia hii ya mambo ya blockchain na cryptocurrency kwa ujumla wake. Nina uzoefu wa muda mrefu kwenye tathnia ya biashara ya mitandaoni (online business) tokea mwaka 2014 hadi sasa, tokea nipo chuoni (UDSM) nilikuwa nafanya biashara hizi kwa muda wangu wa ziada, hadi sasa nimeamua kufanya biashara hizi kwa muda wangu wote. Ashukuriwe mungu sana kwasasa, binafsi na kwa msaada wa timu yangu tumeweza kufungua taasisi ya crypto island pro. Kwa ajili ya kuwasaidia wajasiriamali, wanafunzi, waajiriwa na watu wanaotafuta fursa mbali mbali kwa ajili ya kujikimu, waweze kutumia mitandao ya kijamii kwa maslahi yao binafsi. Wito wangu kwa jamii, ajira kwasasa imekuwa gumzo katika nchi nyingi za africa ikiwemo tanazania, kwenye mitandao ya kijamii zipo fursa nyingi tunaweza kuzitumia zikawa ni ajira zetu, ila kwenye mitandao pia kuna matapeli wa kila aina, karibu katika taasisi yetu ya crypto island pro uweze kujifunza fursa mbali mbali za mitandaoni za uhakika zenye riski ndogo ukilinganisha na sehemu nyengine. Hakika kwa pamoja tumeamua na tunaweza.
0.0
0 total
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

Leave a Comment

error: Content is protected by CRYPTO ISLAND PRO!!
Main Content