error: Content is protected by CRYPTO ISLAND PRO!!
Loading Events

Karibu katika event ya BITCOIN PIZZA DAY.

Event hii ni kwa ajili ya kusherekea mwaka mpya tokea bitcoin ilivoanza kutambuliwa rasmi kwa kufanya muamala wa kwanza kununua pizza mwaka 2010.

Licha ya sherehe iyo pia lengo jengine ni kutambuana kwa pamoja kwa wale wote wanaoifahamu sarafu hii ya bitcoin na wananufaika nayo kwa namna moja au nyengine kwa ajili ya kutengeneza jumuia ya wanacryptocurrency zanzibar (crypto community) itakayokuwa na malengo ya kushirikiana kwa pamoja juu ya fursa mbali mbali zilizopo ndani ya sarafu hizi za kidigital kwa manufaa ya wanajumuia na nchi nzima kwa ujumla wake.

Inawezeakana wewe ukawa tayari ni mnufaika wa sarafu hizi ama bado hujanufaika ila unazifahamu tu kwamba zipo ila unashauku ya kutaka kufahamu fursa zilizopo ndani yake basi usisite kujumuika nasi siku ya jumapili ya tarehe 23/07/2023.

Hakika yapo mengi ya kujifunza na kujionea kwa macho katika mapinduzi haya ya 4 ya teknologia.

Kumbuka event hii sio kwa ajili ya kila mtu (hapana), ila ni kwa ajili tu ya watu watafutaji na wenye kiu ya kutaka kujua mambo mengi ya ziada na kushiriki katika mapinduzi haya ya 4 ya viwanda ili waweze kujikwamua katika hali walizopo na kupata maisha bora. Kama wewe ni mmoja wao karibu ujumuike nasi.

Kiingilio ni ticket maalumu ambazo zitagharimu shilingi 10,000/= tu. Ila kama utalipia sasa ivi kwa watu 40 wa kwanza watapata ofa ya kulipia elfu 5000/= tu mwisho wa ofa hii ni tarehe 20/07/2023.

bila ya kusahau chakula na vinywaji vitakuwepo.

Harakisha kuwasiliana nasi sasa ivi kwa ajili ya kufanya booking ya ticket yako.

0772-897555. Au 0716-990865.

Malipo ya ticket lipa kwa simu.

Mtandao TIGO

Lipa number: 9094241

Jina: CRYPTO ISLAND PRO.

Baada ya kufanya malipo utatuma screen short ya malipo kwa whatsap number zilizopo hapo juu. Ticket yako itahifadhiwa.

harakisha kujisajili kwenye fomu hapa chini ili uwekewe nafasi yako sasa ivi.

Loading gif
Days
Hours
Minutes
Seconds
  • This event has passed.
  • Cost
    tzs5000
  • Start Time
    July 23 @ 10:00 am
  • End Time
    July 23 @ 2:00 pm
error: Content is protected by CRYPTO ISLAND PRO!!