error: Content is protected by CRYPTO ISLAND PRO!!
Loading Events

FAHAMU SIRI ZA BIASHARA YA FOREX.

kama wewe ni mmoja ya watu wanaohangaika sana kutaka kujuwa namna sahihi ya kufanya biashara ya forex. basi ujumbe huu unaweza ukawa ni wa muhimu sana kwako kuliko kitu chochote kile unachojishughulisha nacho kwa wakati huu.

ZANZIBAR ONLINE DIGITAL ECONOMY (ZODEC) baada ya kuanzisha taasisi ya (crypto island pro) sasa imeanzisha program mpya ya mafunzo ya forex iitwayo (forex island pro). hii ni program ambayo inatoa mafunzo ya kina pamoja na siri zote zinazohusiana na biashara ya forex, Zingatia kuwa siri hizo sio rahisi kuzipata sehemu yoyote ile isipokuwa kwenye program hii ya forex island pro, maana program inazingatia mafanikio yako ndio mafanikio pia ya program yetu hii.

kama wewe haujawahi kabisa kutrade forex na wala hujui forex ni nini au ni trader wa forex kwa muda mrefu lakin umekuwa ni mtu wa kupata hasara nyingi kuliko faida. basi usijali sasa unakwenda kuzijuwa siri za kufanya biashara hio kwa mafanikio mazuri.

Baada ya program yetu hii kuweza kuwasaidia wanafunzi wengi kupata mafanikio katika biashara hii sasa tumeamuwa kuitangaza rasmi ili iweze kuwasaidia na wengine hata wewe unaweza ukawa mmoja wao.

kama utajiunga na darasa letu sasa ivi tuna offa zifuatazo kwa ajili yako;

Tuna program 5 aina tofauti (online na offline).

 

  1. Forex basic utajifunza bure kwa wanafunzi 40 wa kwanza
  2. Forex trading for beginner badala ya kulipia  400,000 sasa ivi kwa watu 40 wa kwanza watalipia 250,000 tu.
  3. Forex trading for Advance badala ya kulipia  450,000 sasa ivi kwa watu 40 wa kwanza watalipia 260,000 tu.
  4. Group signal Badala ya 20$ kila mwezi kwa mwezi wako wa kwanza utalipia 15$ tu.

  5. Mentorship and consulting. Badala ya 1,600,000 sasa kuna Ofa  ya 1,200,000 tu. hii ni program ya kufundishwa na kushikwa mkono na kusimamiwa mtu mmoja tu hadi aweze. kama unataka kujifunza peke yako na kushikwa mkono basi hii ipo kwa ajili yako. ….

kama upo tayari kujifunza nasi kwa kujinyakulia ofa yako. basi jaza taarifa zako hapa chini; kisha wasaidizi wetu watawasiliana nawewe baada ya kujisajili.

tukumbuke kuwa kusoma basic ni free ni bure kabisa kwa sasa.

Bila ya kusahau malipo yoyote yale fanya kwa njia ya lipa kwa simu

mtandao TIGO

Lipa number: 9094241

Jina: CRYPTO ISLAND PRO.

Kwa msaada zaidi wasiliana nasi

0772-897555 au 0773-732671

harakisha kujisajili sasa ivi hapo chini. zimebaki siku chache tuanze darasa letu na ofa zetu zinakaribia kuisha.

Loading gif
Days
Hours
Minutes
Seconds
  • This event has passed.
  • Start Time
    August 13 @ 8:00 am
  • End Time
    August 14 @ 5:00 pm
error: Content is protected by CRYPTO ISLAND PRO!!