error: Content is protected by CRYPTO ISLAND PRO!!
Loading Events

kwa wale wote waliopo darasa la advanced  tafadhali tunaomba muwasili kwenye jaribio la mtihani litakalofanyika tarehe 21 jumapili 2022.

ikitokea hujafanya mtihani kwa dharura tafadhali hakikisha unawasiliana na uongozi wetu. ila ukiacha kufanya mtihani kwa makusudi basi tambua kuwa chuo hakitakutambua kwa chochote kile kama uliwahi kupitia mafunzo yetu.

bila ya kusahau zawadi nono kwa wanafunzi watakaofanya vizuri zitatolewa siku ya event.

Jisajili kuwa utafanya mtihani kwa kujaza formu iliyopo hapo chini.  ahsante.

SMART TRADER ALWAYS BEGINS WITH KNOWLEDGE

Registrations are closed for this event

Days
Hours
Minutes
Seconds
  • This event has passed.
  • Start Time
    August 21 @ 10:30 pm
  • End Time
    August 21 @ 10:30 pm
error: Content is protected by CRYPTO ISLAND PRO!!