error: Content is protected by CRYPTO ISLAND PRO!!

MTIHANI KWA ADVANCED LEVEL.

kwa wale wote waliopo darasa la advanced  tafadhali tunaomba muwasili kwenye jaribio la mtihani litakalofanyika tarehe 21 jumapili 2022. ikitokea hujafanya mtihani kwa dharura tafadhali hakikisha unawasiliana na uongozi wetu. ila ukiacha kufanya mtihani kwa makusudi basi tambua kuwa chuo hakitakutambua kwa chochote kile kama uliwahi […]

SEMINAR KUHUSU MAPINDUZI YA NNE YA VIWANDA (BLOCKCHAIN) NA AJIRA ZA MITANDAONI)

Karibu katika semina yetu kubwa ujifunze namna ya kutumia fursa mbali mbali zilizomo ndani ya teknolojia mpya ya blockchain kupitia wataalamu mahiri na waaminifu kutoka sector mbali mbali. CRYPTO ISLAND PRO, tunaamini kuwa mafanikio makubwa yanayotokana na fursa hizi zinaweza kubadilisha maisha yako moja kwa […]

10,000tzs

CRYPTO RESEARCH COURSE.

KARIBU UJIFUNZE KOZI YA CRYPTO RESEARCH. kozi hii itafundishwa kwa muda wa miezi 4 kupitia  vipengele (phase) 4 tofauti. kila phase 1 itachukuwa siku 30. ukijifunza phase zote nne basi utajifunza kwa muda wa siku 120. hili ni moja kati ya masomo ya bei ghali […]

tzs260,000

MAFUNZO YA BLOCKCHAIN (IPFS)

Karibu katika mafunzo ya blockchain yanayohusu project mpya na za kisasa zilizokuwa decentralized kupitia njia za kitaalamu ziitwazo orbit. Seminar hii itafanyika siku ya jumamosi tarehe 05/11/2022. ukumbi wa rahaleo studio,  muda saa 5 asubuhi hadi saa 9 jioni. kiingilio ni free bila ya kusahau […]

free entry

EXAM FOR BEGINNER.

tafadhali wanaotakiwa kujisajili hapa ni kwa watahiniwa wa beginner tu.

EXAM FOR ADVANCED.

Tafadhali kama wewe umemaliza darasa la advanced kutoka katika intake yoyote ya crypto island pro na haujafanya mtihani wa advance basi unatakiwa kujisajili hapa kwa ajili ya kuja kufanya mtihani wako tarehe iliyopo hapo pichani. ahsante.

BITCOIN PIZZA DAY.

Karibu katika event ya BITCOIN PIZZA DAY. Event hii ni kwa ajili ya kusherekea mwaka mpya tokea bitcoin ilivoanza kutambuliwa rasmi kwa kufanya muamala wa kwanza kununua pizza mwaka 2010. Licha ya sherehe iyo pia lengo jengine ni kutambuana kwa pamoja kwa wale wote wanaoifahamu […]

tzs5000

FOREX CLASS TRADING COURSE.

FAHAMU SIRI ZA BIASHARA YA FOREX. kama wewe ni mmoja ya watu wanaohangaika sana kutaka kujuwa namna sahihi ya kufanya biashara ya forex. basi ujumbe huu unaweza ukawa ni wa muhimu sana kwako kuliko kitu chochote kile unachojishughulisha nacho kwa wakati huu. ZANZIBAR ONLINE DIGITAL […]

error: Content is protected by CRYPTO ISLAND PRO!!