error: Content is protected by CRYPTO ISLAND PRO!!

Maswali yanayoulizwa mara nyingi (FAQs)

 

KWA UJUMLA.

  • Masharti yetu ni mepesi tu kwa wale wote wanaotaka kujiunga na mafunzo yetu watapaswa kujaza form iliyopo hapa online.
  • Baada ya kujaza form atatakiwa kulipia malipo kamili utatuma majina kamili na screenshot za malipo kupitia whatsap no 0715-637444.
  • Baada ya hapo utapatiwa username na password yako itakayokuruhusu kuingia darasani moja kwa moja.
  • Baada ya hapo utatuma picha yako ya passport size kwa ajili ya kuja kutengenezwa certificate yako baada ya kumaliza masomo.
  • Mafunzo ya online yanachukuwa miezi mitano (4) utakuwa na uwezo wa kuingia darasani muda wowote kwa muda wa miezi 4.
  • Mafunzo ya darasa la ofisini (live)  ni mwezi mmoja. utakuwa unakutana na walimu ana kwa ana.
  • Ada ya mafunzo ni 500,000 tsh. Ila kwasasa tupo na ofa utajiunga na darasa letu kwa 250,000tsh tu.
  • Ofa yetu iyo ipo kwa wanafunzi 50 tu wa kwanza watakaojiunga na darasa letu kwa sasa. unaweza kuiwahi ofa hii kama utajiunga sasa ivi.
  • Hapana malipo yanatakiwa yalipiwe full kwasasa badala ya laki 500,000 utalipia 250,000 tu.
  • Ndio utakuwa unajifunza kwa wakati mmoja pia utakuwa unayafanyia kazi yale uliyojifunza na kuanza kutengeneza faida ndogo ndogo.
  • Ndio huwa tunatoa cheti baada kuhitimu kwa waliopo mbali tutakuwa na utaratibu wa kuwatumia soft copy au hard copy kama wataihitaji ila watalipia gharama za usafirishaji wake.
  • Makao makuu ya office yapo ZANZIBAR, mwanakwerekwe, nyuma ya mahakama ya wilaya, jengo la mhe kificho, ghorofa ya pili. Kama unaishi Zanzibar muda wowote unaweza kuja kututembelea. office yetu ipo wazi siku zote za wiki kasoro ijumaa tu. muda wa kupokea wageni ni kuanzia saa 4;00 asubuhi hadi saa 11;00 jioni
  • Ndio inawezekana kama utaweza kuhudhuria masomo yetu hapa offisini petu Zanzibar. Ila ukihitaji mkufunzi wetu asafiri aje sehemu ulipo kuja kukufundisha pia inawezekana kwa makubaliano maalumu.
    • Kwasasa ivi kama upo nje ya Tanzania nchi kama Kenya na Uganda n.k unaweza ukazituma fedha za mtandaoni moja kwa moja kwenda mitandao ya simu au bank, ila kwa waliopo Tanzania kubadili fedha za mtandaoni huwa tunatumia mawakala kama walivo mawakala wa tigo pesa na mitandao mengine.
    • Habari njema ni kwamba crypto island pro taasisi yetu nayo pia ina kitengo maalumu cha uwakala unaweza ukatolea pesa kwetu kwa kununua au kuuza moja kwa moja kwa wasaidizi wetu. wasiliana wakala wetu muaminifu kwa number 0767-158060 muda wote
    • Faida zipo nyingi ila ya muhimu zaidi ni kuwa utakuwa na uwezo wa kutengeneza fedha wakati huku ukiwa unasoma. Ni tofauti na elimu za sehemu nyengine ambazo huwezi kutengeneza fedha kutokana na elimu izo hadi umalize kusoma na upate kazi. ila kwetu ni tofauti unajifunza na huku tayari umeshapata kazi ya kukuingizia kipato wewe mwenyewe.
    • Pia ni fursa nzuri kwa wale wanaotaka kujiajiri, au kama umeajiriwa basi utakuwa na uwezo wa kutengeneza kipato kwa muda wako wa ziada popote pale ulipo kwa kutumia tu simu yako tu ya mkononi.
    • Hasara zipo pia, hakuna biashara iliyokuwa na faida ambayo haina hasara.
    • Kwakuwa mfumo huu unatabia ya kujiendesha wenyewe basi na fedha hizi pia huwa zinajiendesha wenyewe hazina mamlaka husika ambazo wanaziendesha, hasara yake kubwa ni kuwa ukikosea kutuma muamala wa fedha kwenda kwa mtu mwengine basi muamala huo huwa haurudi tena kwako hakuna mamlaka yenye uwezo wa kutoa pesa kwa mtu mmoja kupeleka kwa mtu mwengine wewe peke yako ndo unakuwa na uwezo huo.
    • Hasara nyengine ni kuwa kwa baadhi ya vipochi vya kidigitali (wallet) zipo ambazo hazina mamlaka husika pia, kwaiyo ikitokea umesahau password hakutakuwa na mtu au mamlaka husika watakaoweza kukumbushia password uliyoipoteza kwaiyo kama ulikuwa na pesa basi nayo hautaipata tena mpaka siku utakayokuja kuikumbuka password yako.
    • fedha hizi za cryptocurrency zipo za aina nyingi moja wapo ni unstable coin, hizi huwa na taratibu za kupanda thamani kwa kasi sana na pia kushuka thamani kwa kasi sana. kwasababu hiyo wengine huwa ni fursa nzuri kwao na wengine huwa ni changamoto kwao ila cha ajabu ni kuwa vovote itakavokuwa unauwezo wa kutengeneza faida katika hali zote  kushuka au kupanda thamani ya fedha hizo kama utakuwa na utaalamu nazo vizuri. karibu ujifunze namna hizo kwenye madarasa yetu. ili isiwe changamoto kwako.
error: Content is protected by CRYPTO ISLAND PRO!!