error: Content is protected by CRYPTO ISLAND PRO!!

Tovuti ya mafunzo timilifu,
kutoka kwa walimu mahiri na waaminifu

KARIBU TAASISI YETU

 

KUHUSU SISI

Crypto island pro ni taasisi binafsi inayojishughulisha na utoaji wa mafunzo yanayohusu matumizi sahihi ya simu zetu za kiganjani  juu ya fursa mbali mbali zilizopo kwenye mitandao ya kijamii zinazoweza kuwa ajira kwetu na kwa vijana wetu, au kuwa kama  nyongeza ya ajira kwa wafanya kazi (waajiriwa), wajasiriamali au wanafunzi  bila ya kuathiri shughuli na ratiba zao za kila siku, badala ya kutumia simu zao kuchati au kujiburudisha kwa kuangalia vichekesho, muda uo wanaweza wakatumia simu zao kujitengenezea kipato cha ziada

Soma Zaidi….

HAKIKA KWA NGUVU YA PAMOJA, TUMEAMUWA NA TUNAWEZA

Upcoming Events

Jifunze mafunzo kamili ya Cryptocurrency

Tunaamini kuwa tunatoa elimu yenye thamani kubwa kulinganisha na malipo ya wanafunzi wetu. kama wewe ni mmoja wa watu wenye kiu ya kutaka kuelewa zaidi mambo haya na kwa sasa hauna uzoefu wowote basi usijali, taasisi hii ipo kwa ajili yako, tafadhali usisite kuwasiliana nasi ili uweze kupatiwa msaada wa haraka kutoka kwa wasaidizi wetu. hakuna sababu yoyote CRYPTO ISLAND PRO ishindwe kukusaidia wewe kutimiza malengo yako ndani ya teknolojia mpya ya cyptocurrency + blockchain. 

Kwanini Cryptocurrency + Blokchain

  • Ni ajira ya kiganjani mwako ambayo unaweza kufanya kazi popote pale ulipo,
  • Unahitaji kiasi kidogo tu cha mtaji,
  • Haziathiriwa na mfumko wa bei,
  • Ni fedha ambazo zinatumika duniani kote, na unaweza kufanya manunuzi online popote pale duniani.
  • Mtu yoyote anaweza kuzimiliki na kuzihifadhi bila kuingiliwa na mamlaka yoyote binafsi au ya kidola,
  • Kupanda kwa thamani kwa malengo ya muda mrefu,
  • Hakuna foleni katika kutuma au kutumiwa,
  • Unaweza ukatuma au kupokea popote pale duniani bila ya mipaka alimradi sehemu uliyopo pawepo na internet.

Full Package Kozi.

 

KOZI ZETU

TAASISI YETU

055-contract-11
CRYPTO ISLAND PRO

Kujiunga na mafunzo yetu kutakuweza kuendana na dunia kupitia mapinduzi ya viwanda yanayokua kwa kasi hivi sasa kwa technologia ya blockchain yenye fursa nyingi za uchumi wa kidigitali.

015-answer
PROFESSIONALS

Taasis yetu inawakufunzi wenye uzowefu na ujuzi wa biashara na fursa za kimtandao kwa muda mrefu na ni taasisi ya kwanza kuanzishwa hapa Tanzania na Zanzibar kwa ujumla wake huku ikiwa imefuata matakwa yote ya kisheria za serikali ikiwemo usajili na ulipaji wa kodi. Kwa hakika kuwa nasi hapa upo katika mikono salama.

024-left-quote
TAASISI

Taasisi yetu imejipanga vyema katika kuhakikisha unaelewa vizuri mifumo hii na unanufaika nayo moja kwa moja mifukoni mwako ili kukuwezesha kukutoa katika hali uliyopo sasa na kuelekea katika hali nyengine kimaisha.

error: Content is protected by CRYPTO ISLAND PRO!!