error: Content is protected by CRYPTO ISLAND PRO!!
Loading Events

KARIBU UJIFUNZE KOZI YA CRYPTO RESEARCH.

kozi hii itafundishwa kwa muda wa miezi 4 kupitia  vipengele (phase) 4 tofauti.

  • kila phase 1 itachukuwa siku 30.
  • ukijifunza phase zote nne basi utajifunza kwa muda wa siku 120.

hili ni moja kati ya masomo ya bei ghali sana nchi za wenzetu za magharibi. ila sisi tumepanga kufundisha kwa bei nafuu sana ambayo hata wewe uweze kuimudu kujifunza. kama utawahi kujiunga sasa ivi na darasa hili basi kuna ofa maalumu kwa ajili yako; badala ya kulipia 550,000 utalipia 260,000 tu. Pia kwa bei iyo iyo ya ofa ya 260,000 unaweza kulipia kwa awamu ya kwa kila mwezi ila kwa mwezi wa kwanza utaanza kulipia kwa 80.000/= kwa ajili ya kuchangia gharama za wali za manunuzi ya vifaa vya kufanyia izo reseach.

UTARATIBU UTAKUWA KAMA IFUATAVYO:

  • masomo yatanyika darasani ofisini kwetu mwanakwerekwe.
  • muda wa kuja kujifunza utachagua wewe kati ya asubuhi, mchana, jioni au usiku. kwa kila darasa litafundisha kwa muda wa saa 1 na nusu tu.
  • kutakuwepo na speed internet zaid ya 5 Mbps.
  • Vifaa vyote vya muhimu vya kufanyia research vitakuwepo.
  • unaruhusiwa kufanya malipo ya awamu ya kila mwezi
  • darasa litaanza rasmi baada ya idadi ya wanafunzi kutimia 80.

MALIPO;

  • fanya malipo kupitia lipa number yenye tarakimu saba TIGO LIPA; 90-94-241. Jina: CRYPTO ISLAND PRO.
  • tigo pesa; 0716-990865 jina issa abasi
  • baada ya kufanya malipo share sms ya muamala kwa number 0716-990865.

ZINGATIA;

  • Ofa hii ya malipo ya 260,000 itaisha muda wowote ikifika tu idadi ya wanafunzi iliyowekwa (wanafunzi 80). wakifika tu idadi iyo basi malipo yatakuwa 550,000 badala ya 260,000. tafadhali tunaomba ushirikiano wako juu ya hili.
  • tafadhali harakisha kujaza taarifa zako hapo chini ili kuwahi nafasi yako sasa ivi.

Mabadiliko siku zote huwa yanaanza na uthubutu, fanya uthubutu leo hii kwa ajili ya kutengeneza future yako iwe imara.

crypto island pro, ni fahari ya watanzania.

 

Loading gif
Days
Hours
Minutes
Seconds
  • This event has passed.
  • Cost
    tzs260,000
  • Start Time
    October 10 @ 8:00 am
  • End Time
    October 10 @ 5:00 pm
  • Phone
    255 716 990865
  • Email
    info@cryptoislandpro.co.tz
  • Organizer
    CRYPTO ISLAND PRO
error: Content is protected by CRYPTO ISLAND PRO!!