error: Content is protected by CRYPTO ISLAND PRO!!
Loading Events

KARIBU UJIUNGE NASI.

kama upo zanzibar na unahitaji kuhudhuria mafunzo yetu yanayofanyika ofisini kwetu (live) kwa kuonana na walimu wetu ana kwa ana basi wakati ni wako sasa. Mafunzo haya yatakuwa kwa muda wa mwezi mmoja tu kuanzia tarehe 25/07/2022 hadi 25/08/2022. karibu ujisajili hapo chini.

ila kumbuka pia ukijisajili darasa hili la kuja kujifunza ofisini kwetu basi pia utapata nafasi ya kujifunza kwenye mafunzo yetu ya online kwa muda wa miezi 4.

Vile vile pia mafunzo ya online nayo yataanza rasmi kufundishwa tarehe hiyo. na haya ni mafunzo ambayo kila mtu atakuwa na uwezo wa kujifunza kwa muda wake kutokana na mfumo wake ulivo.

kama wewe ni mmoja watu walioguswa na janga la mfumuko wa bei, na ungependa kujifunza namna ya kuzalisha kipato chako katika njia mpya na za uhakika zilizopo mitandaoni basi hakikisha hukosi darasa hili, ili kuweza kuboresha maisha yako binafsi na ya watu wanaokuzunguka.

wapo watu wengi tayari wamesha nufaika vizuri na mafunzo yetu, bila shaka nawewe unaweza kuwa mmoja wao.

kama utajisajili sasa hivi basi kuna ofa maalumu kwa ajili  yako. na ofa hii ipo kwa ajili ya watu 50 tu watakao jisajili sasa ivi na kulipia. 

harakisha kujisajili sasa ivi ili kuwahi ofa yako. BONYEZA KITUFE CHA KILICHOANDIKWA “FORM” HAPO CHINI KUJAZA FORMU YAKO

> “JAZA FORM HAPA” 

 

Registrations are closed for this event

Days
Hours
Minutes
Seconds
  • This event has passed.
  • Cost
    250,000tzs
  • Start Time
    July 25 @ 12:00 am
  • End Time
    August 5 @ 11:59 pm
  • Phone
    255 716 990865
  • Email
    info@cryptoislandpro.co.tz
  • Organizer
    CRYPTO ISLAND PRO
error: Content is protected by CRYPTO ISLAND PRO!!