error: Content is protected by CRYPTO ISLAND PRO!!
Loading Events

Karibu katika semina yetu kubwa ujifunze namna ya kutumia fursa mbali mbali zilizomo ndani ya teknolojia mpya ya blockchain kupitia wataalamu mahiri na waaminifu kutoka sector mbali mbali.

CRYPTO ISLAND PRO, tunaamini kuwa mafanikio makubwa yanayotokana na fursa hizi zinaweza kubadilisha maisha yako moja kwa moja, kama utakuwa na uwelewa nazo vizuri kupitia masoko yake, na uwelewa mzuri juu ya changamoto (risk) zake ili uweze kujiandaa nazo na utambue namna ya kuziepuka.

CRYPTO ISLAND PRO imekwenda mbali zaidi kwa kutoa elimu ya kina juu ya mambo haya kwa ujumla wake kupitia seminar zake, madarasa yake (workshop) ya online na offline na masomo ya kivitendo (practical) pamoja na kwenye matukio mbali mbali kwa watu wa rika tofauti wakiwemo wazee, vijana na wengineo walio ajiriwa, waliojiajiri, wajasiriamali, wanafunzi na watu wanaotafuta fursa za kufanya kwa ajili ya kukuza kipato chao kwa njia rahisi kupitia simu zao tu binafsi.

kwa namna hii crypto island pro inahakikisha kwamba taaluma ya elimu inayoitoa inakubalika kila mahali na tayari hivi sasa imeshawasaidia watu wengi ulimwenguni wakiwemo watanzania, wazanzibari na watu wengineo kutoka nchi jirani. na hadi sasa taasisi hii imeweza kubadilisha maisha yao kwa kiasi kikubwa sana. hata wewe pia unaweza kuwa mmoja wao.

Seminar hii imeandaliwa kwa ajili ya kutoa taaluma kwa watu wote ambao wenye shauku ya kutaka kujua kiundani juu ya  technolojia ya blockchain, na ina fursa gani na unawezaje kutumia simu yako kufanya fursa hizi. na hata kwa wale ambao wanaoijuwa teknolojia hii basi crypto island pro ipo kwa ajili ya kuwapa elimu ya juu zaidi na uzoefu zaidi (experience) katika hilo.

Baadhi ya topic zitakazozungumzwa:

  • maana halisi ya mapinduzi ya 4 viwanda na teknolojia ya blockchain.
  • internet web 1.0 to web 3.0.
  • decentralised project (defi)
  • metaverse
  • non fungible token (NFTs)
  • digital trading concept.
  • etc…

KIINGILIO

kiingilio ni ticket maalumu. kama utawahi kuchukuwa ticket sasa ivi basi utaipata kwa ofa ya silingi 5,000/= tu badala ya elfu 10,000/=. kuanzia tarehe 24/08/2022 ticket zote zitakuwa zinapatikana kwa elfu 10,000/= badala ya 5,000/=.

NJIA ZA MALIPO YA TICKET.

LIPA PESA KWA TIGO NUMBER 9094-241 JINA CRYPTO ISLAND PRO. kisha tuma screenshort ya muamala kwa whatsap number 0716990865 pamoja na majina yako matatu. utahifadhiwa ticket yako,

au wasiliana na wajumbe wetu hawa watakupatia ticket yako au kwa msaada zaidi.

  • MAENEO YA MJINI: Madam Sabrina Soud  (0621-103097)
  • MAENEO YA KWEREKWE: Madam jamila (0715-637444)

bila ya kusahau digital certificate (vyeti) vitatolewa kwa watakaohudhuria.

michezo, zawadi kwa wahudhuriaji, burudani na chakula (dhifa) vitakuwepo pia mungu akipenda.

harakisha kuwahi ofa ya punguzo la bei ya ticket sasa ivi maana siku zimebaki chache.

ANGALIZO:

(semina hii ipo kwa ajili ya watu ambao walikuwepo serious tu, kama unajiona haupo serious na hauna malengo yoyote kwenye maisha yako, tafadhali usipoteze muda wako ila kama unaona upo serious na una malengo mengi unataka kutimiza kwenye maisha yako basi karibu ujiunge nasi tarehe 28/08/2022)

pia utapigiwa simu baada ya kujaza fomu hapo chini na utaelekezwa namna ya kuipata ticket yako kwa offer.  tafadhali tunaomba ushirikiano katika hili ahsante.

“MAENDELEO YAKO BINAFSI TAMBUA SIKU ZOTE HUWA YANAANZA NA WEWE, AMUA LEO KUISHI KWENYE MALENGO YA NDOTO ZAKO, KARIBU TUJIFUNZE WOTE”

 

Registrations are closed for this event

Days
Hours
Minutes
Seconds
  • This event has passed.
  • Cost
    10,000tzs
  • Start Time
    August 28 @ 1:30 am
  • End Time
    August 28 @ 5:00 am
  • Phone
    255 716 990865
  • Email
    info@cryptoislandpro.co.tz
  • Organizer
    CRYPTO ISLAND PRO
error: Content is protected by CRYPTO ISLAND PRO!!